Penguin-1 JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 406 Reaction score 65 Jan 18, 2013 #21 mpinga shetani said: hivi tigo wana internet? mimi simu yangu yenye line ya tigo inasoma 3g lakini haijawahi kufungua hata page moja! Click to expand... Haitafungua bila kuweka settings/configurations husika. weka APN =tigoweb anza kubrowse.
mpinga shetani said: hivi tigo wana internet? mimi simu yangu yenye line ya tigo inasoma 3g lakini haijawahi kufungua hata page moja! Click to expand... Haitafungua bila kuweka settings/configurations husika. weka APN =tigoweb anza kubrowse.
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,701 Reaction score 2,613 Jan 18, 2013 #22 Penguin-1 said: Unaweza force 3G muda wote Click to expand... 3G inategemea uwezo was mnara ulioconnect hivyo hauwezi kuforce 3g kama haipo enough lako.
Penguin-1 said: Unaweza force 3G muda wote Click to expand... 3G inategemea uwezo was mnara ulioconnect hivyo hauwezi kuforce 3g kama haipo enough lako.
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,701 Reaction score 2,613 Jan 18, 2013 #23 Embu wekeni details za Hizo bundle mnazosema nzuri, mimi Voda ndo nimefika ila wajanja night nashusha kama Gig 5-7 per night. Asubuhi naweka ya 400 au 700 natake it easy. Au Ile ya wiki 10,000 2Gig full speed kisha unlimited na speed governor.
Embu wekeni details za Hizo bundle mnazosema nzuri, mimi Voda ndo nimefika ila wajanja night nashusha kama Gig 5-7 per night. Asubuhi naweka ya 400 au 700 natake it easy. Au Ile ya wiki 10,000 2Gig full speed kisha unlimited na speed governor.
LOOOK JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,466 Reaction score 822 Jan 18, 2013 #24 ndetichia said: unabahati kama kwako bado inafanyakazi... Click to expand... yani kwangu bado inapiga mzigo tena line zangu zote mbili
ndetichia said: unabahati kama kwako bado inafanyakazi... Click to expand... yani kwangu bado inapiga mzigo tena line zangu zote mbili
Penguin-1 JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 406 Reaction score 65 Jan 18, 2013 #25 Kang said: 3G inategemea uwezo was mnara ulioconnect hivyo hauwezi kuforce 3g kama haipo enough lako. Click to expand... Most minara inajitahidi with 1-2 bars. Anyways kwa mtumiaji wa kawaida it helps kupata good experience.
Kang said: 3G inategemea uwezo was mnara ulioconnect hivyo hauwezi kuforce 3g kama haipo enough lako. Click to expand... Most minara inajitahidi with 1-2 bars. Anyways kwa mtumiaji wa kawaida it helps kupata good experience.