Hii ni kwa wale wenye vista na windows 7 tu, kwa wale wa XP msahau hii kitu.kwenye red hapo microsoft wanatujuza kuwa XP kwa sasa imepitwa na wakati , kwa jinsi wabongo wengi wanavyo ipenda XP nahisi watakosa vitu vingi sana vipya vinavyo kuja.
Leo FireFox wame-release Version 4.0.1 nashauri wote mnaotumia FireFox ku-upgrade browsers zenunasubiria zang RC ya Firefox 4 ambayo inakua launched 22 mwezi huu...IE ni enzi hizo si leo hii eti BEAUTIFUL WEB!!!!!!!!!!
Kweli tutakosa mambo mengi....
Tatizo c kwamba wabongo wanapenda xp sana, ila tatizo ni hardware compatibility, wabongo sisi ni wabahi ukiambiwa nunua machne kubwa na powerful enough hawatak wananunua p3 za laki 3 sasa unadhani win 7 itasuport?:bange:
Leo FireFox wame-release Version 4.0.1 nashauri wote mnaotumia FireFox ku-upgrade browsers zenu
Mozilla | Firefox web browser & Thunderbird email client