Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,759
- 5,289
hii ni ya simu au pc
senki yu sana vipi speed yake nzuri?
Nime unistal my perfectly working IDM kuweka hii and it doesn't even work!! Haionekani kwene Extensions za chrome na kwene mozilla imekua disabled for security or stability issues na huwezi kuienable!!! Hii idm ni Dog sh!tNADHANI KWA HAPA KILIO CHENU KIMEKWISHA..KWA MUDA WA MIEZI 6 SASA NAITUMIA HII..NINA UHAKIKA NAYO 100%
DOWNLOAD HAPA
IDM_7.0_FUll_PinocchioFX (1) - Download - 4shared - Nasmile Hacker
NADHANI KWA HAPA KILIO CHENU KIMEKWISHA..KWA MUDA WA MIEZI 6 SASA NAITUMIA HII..NINA UHAKIKA NAYO 100%
DOWNLOAD HAPA
IDM_7.0_FUll_PinocchioFX (1) - Download - 4shared - Nasmile Hacker
Kwanza anti-virus yangu imenipa warning that this thing ni Malware, nikaignore nikijua itafanya kazi kumbe ni useless!! We mtoa mada hii software hujawahi kuitumia i bet, kama unayo unatumia weka screen shots hapa cuz it doesn't work!!Hamna IDM v7 hiyo ni watu wanachezea akili za watu...haichukui Utube wala nn
4real ina work vizuri tu,naitumia kila siku.kuhusu kui enable inatakiwa udownload extension nyingne toka katika forums mbalimbali(search google=idmcc extension) ambayo unaingiza manual katika mozilla.kisha unai restart mozzila yako mzigo unaendelea.
nb; kumbuka hii sio version official ya idm ila kuna jamaa wamei develop kwan hata ukiangalia icon yake sio ile mliozoea
kumbe sio idm...
bado inafanya kaziNADHANI KWA HAPA KILIO CHENU KIMEKWISHA..KWA MUDA WA MIEZI 6 SASA NAITUMIA HII..NINA UHAKIKA NAYO 100%
DOWNLOAD HAPA
IDM_7.0_FUll_PinocchioFX (1) - Download - 4shared - Nasmile Hacker
Swali au taarifa?bado inafanya kazi
Tafuta zipo online latest iyo sio compatible tena with latest browsers of this year ,hata usijisumbuebado inafanya kazi
Nazani swaliSwali au taarifa?