"Internet/Data" maswali ya kujiuliza

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,757
kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia suala la Internet limekuwa chachu ya kurahisisha kazi,
sehemu nyingi kwenye maofisi utasikia wanasema mtandao uko chini/internet imekata, hata kwenye simu za mkononi tunatumia internet kwa mfumo wa wayalesi au kifurushi, na kifurushi kikiisha huwezi tena kuingia kwenye kurasa ulizokuwa unaperuzi,

maswali ninayojiulizaga kila siku,
Ni kina nani wanauza intaneti..?
mitandao ya simu inanunua kwa akina nani hiyo intaneti..?
Ni nani anapanga vipimo vya intaneti na bei zake..?
kwa nini mitandao mingine ina intaneti ya bei nafuu na ingine ni ghali..?

Mnisaidie mi ni mshamba
 
naona wote kimya, haya ngoja ni google ili nielewe
 
swali la kitoto sijapata kuona
 
2.mitandao ya simu inanunua internet toka kwa ISP mkubwa hapa tanzania inanuna internet toka TTCL,,,
3.Wanaopanga bei hivyo vya vifurushi ni huyu ISP wako anaamua lutokana na demand,ila nahisi TCRA anahusika Kwenye FAIR Usage Policy,
ndio maana ukiona mfano voda wamechange vifurushi na hao wengine,tigo,airtel,halotel watafuata tu,TCRA anahusika hapa....
4. inategemeana na speed, biashara,unaweza weka bei nafuu ili kuvutia wateja,,pia ISP ghali utakuta speed yao ya internet ipo kasi,,,,
 
No body owns internet...but tunalipia gharama za infrastructures
so tunachotumia kupita kwenye hizo infrastructure kinazalishwaje..?, yaani intaneti inazalishwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…