KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,772
- 21,490
Dawa ni kununua modem na simu zenye internet.Ukiingia kwenye Internet Cafe nyingi jijini Dar es Salaam, na ukataka kuperuzi kwenye tovuti ya Jamii Forums huwa haifunguki, na ukiongea na wahudumu wa hiyi migahawa ya mtandao wa intaneti wanakwambia walionywa kuwa wasiruhusu wateja wasitembelee tovuti hiyo. Kuna mgahawa mmoja uko mjini, wamebandika kabisa bango kuwa ni marufuku kuingia Jamii Forums, ni amri sio ombi. jamani, mbona tunako elekea kunaonekana ni kubaya kuliko tuliko toka? yangu macho.
Ukiingia kwenye Internet Cafe nyingi jijini Dar es Salaam, na ukataka kuperuzi kwenye tovuti ya Jamii Forums huwa haifunguki, na ukiongea na wahudumu wa hiyi migahawa ya mtandao wa intaneti wanakwambia walionywa kuwa wasiruhusu wateja wasitembelee tovuti hiyo.
Kuna mgahawa mmoja uko mjini, wamebandika kabisa bango kuwa ni marufuku kuingia Jamii Forums, ni amri sio ombi.
jamani, mbona tunako elekea kunaonekana ni kubaya kuliko tuliko toka?
yangu macho.