Internet bureeee

mh kweli watu ma IT how can this work nimeapreciate hizi mambo bt guys msisambaze sana bwana watafunga
 
Naomba unitumie na mimi. Natanguliza shukrani zangu.
 
Mjini hapa! Janja Pori na Tracy wa Njiro is the same person! Be ware!
 
kila mtu niPm NiPm basi namim niAm! kama umeamua kumwaga kuku kwenye mchele mwingi we mwaga tu mana hata hao utaowavujishia hyo TRICk nao watavujisha mpaka itanikuta mim na yule zen tukakupa siri hiyo hata wew kumbe ndio uliyeitoa!...
 
we mwanamke nini mambo pm unayaleta public. hujui hizi mambo zinaenda kwa siri , jifunxe privacy

kwani cku zote hujui kuwa mwanamke?watu wanaweka ishu zao za maana hadharani sembuse we vijilaini unataka pm 2
 
Nasoma komenti naona kama comedy vile na sio tangazo tena, pm pm pm pm hakuna am?
 
hebu nifafanulieni na mimi hiko ki-terminology cha pm kina maana gani?
 
Umetutia tamaa. Haya fasta na mie nimo kwenye huo msururu wa pm! Maana hutaki kuweka hayo maujanja hadharani.
 
PM mwanzo mwisho ucsahau hapa please!! Nitupie hayo mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…