Kuna app umeinstall itakuwa inamavirus sasa chakufanya nenda setting >>> security>>device administators hakikisha umeweka tiki kwenye find my phone pekee hizo app nyingine ziweke off kisha nenda kwenye setting halaf angalia downloaded app ambazo hauzielewi zifute hasa hiyo inayojiita emegency dataHabari wana jukwaa,
Bahati mbaya hakuna hiyo option kwani simu inaonekana hivi,Kuna app umeinstall itakuwa inamavirus sasa chakufanya nenda setting >>> security>>device administators hakikisha umeweka tiki kwenye find my phone pekee hizo app nyingine ziweke off kisha nenda kwenye setting halaf angalia downloaded app ambazo hauzielewi zifute hasa hiyo inayojiita emegency data
Pia clear cache za app ya chrome browser
Ukimaliza ulete mrejesho tuone kama tatizo limekuwa solved
Hard reset kwa kushika button ya volume up na switch on .ukiona robot la android minya switch on kisha minus volume up kwa kushikilia kwa sekunde 2 .Kwa sasa simu inaonekana hivyo.
kwenye ku format ina load then ina cancel bila mafanikio
Pole sana ndugu simu imeshakufa change saketi ...Kwa sasa simu inaonekana hivyo.
kwenye ku format ina load then ina cancel bila mafanikio
Flash kwa kutumia memory cardHaikubali kuhard reset.
Haifanyi booting ya option ya hard reset.
Asante mkuu
Mkuu, kivipi?Flash kwa kutumia memory card
Download file ya simu kisha uwe na memory card lakini hapo tatizo haiboot katika recover mode hapo ndio tatizo.Mkuu, kivipi?