Intern opportunity

Sam mirror

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
1,461
Reaction score
2,241
Habari ndugu,

Poleni na majukumu ya kujenga taifa mdogo wenu nilikuwa na maswali machache kama kuna mtu anajua jinsi intern za kampuni ya Knauf Gypsum Tanzania Ltd.

Kuanzia malipo na taasisi kwa ujumla anaweza nisaidia apa ili nijue.

Maana mi Niko mkoani sijawahi fika dar es salaam na kuijua kampuni kiundani.

Natanguliza shukrani za awali ndugu zangu.
 
Ninachojua ni kuwa hicho kiwanda kipo Mkuranga mkoa wa Pwani na sio Dar kama ulivyosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…