View attachment 2971424Klabu ya Inter Milan imetangazwa kuwa Bingwa Wa Ligi kuu Nchini Italia
Mara Baada ya Kushinda Mchezo Wa Leo Dhidi ya Ac Milan Uliomalizika Kwa Ushindi Wa Goli 2_1
Bingwa Huyo Mpya Wa Seria A Ananyakua Ubingwa Huku Akiwa Na Mchezo Mitano 05 Mkononi.
Katika Hatua Nyingine klabu ya Klabu ya Inter Milan imefanikiwa Kufikisha Mataji 20 Ambayo imejikusanyia Katika Ligi hiyo ya Serie A
Ubingwa Wa Inter Milan umechangiwa Na Jitihada Za Wachezaji Kama Lautaro Martinez Ambayo Amekuwa Na Misaada Zaidi katika Eneo La Ushambuliaji huku Akisaidiwa Na Thuram.
Vile Vile Klabu ya Bologna imefanikiwa kuisambaratisha Roma Katika Uwanja Wake Wa Nyumbani huku ikitafuta Nafasi ya Kufuzu hatua Ya Ligi Ya Mabingwa Msimu ujao Ali Maarufu Champions League.
Imeandaliwa Na ^ME