Intelijensia na Stratejia ya CCM ni dhaifu sana.

kanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
1,025
Reaction score
494
Kwa watu ambao tunajua mambo haya ya intelijinsia na stratejia ni wazi kubaini wazi kuwa kuna ombwe kubwa la kimkakati katika uongozi wa ccm.Baada ya uongozi wa juu wa ccm chini ya mwenyekiti wao tAIFA kuwa na wagombea wao mfukoni na wengine kuona kama rejects wangeona mbali zaidi na kuweka mechansims ya kuthibiti na counter attack rebellion yoyote ndani ya chama ambayo ingeweza kutokea.

Hilo ccm hasa mwenyekiti wake hakuweza kuwaza na kuwaza beyond the horizon.

Njia mojawapo ili kuwa kucheza na tume na ratiba ya vyama kuhakikisha kuwa vyama vyote vina kamilisha michakato ndani ya vyama kupata wateule wao ili kudhibiti uasi ndani ya chama.

Katika michakato yote ya uchaguzi na uteuzi ndani ya vyama ccm ndio naona wanapoteza zaidi kama ambavyo inatokea kwenye kutafuta wagombea ubunge ambako huko ni ngumi mkononi na matusi ya wazi wazi kati ya watia nia.

Udhaifu mwingine ni pale ccm ilipoweka wazi kwa watia nia wote wa Uraisi walioshindwa uteuzi kurudi kugombea nafasi zao za ubunge kitu ambacho ni dhahiri shairi watia nia wa uraisi walishakusanya fedha nyingi za kampeni za uraisi sasa wanamwaga rushwa tu kwenye ngazi za ubunge na kufanya mazingira kuwa tight.

ccm kwa heri na mfumo fisadi kwa heri.

LOWAS KARIBU UKAWA TUNAKUHITAJI
 
Njia mojawapo ili kuwa kucheza na tume na ratiba ya vyama kuhakikisha kuwa vyama vyote vina kamilisha michakato ndani ya vyama kupata wateule wao ili kudhibiti uasi ndani ya chama.Katika michakato yote ya uchaguzi na uteuzi ndani ya vyama ccm ndio naona wanapoteza zaidi kama ambavyo inatokea kwenye kutafuta wagombea ubunge ambako huko ni ngumi mkononi na matusi ya wazi wazi kati ya watia nia.

Strategist mkuu wa CCM Mzee Abdurahman Kinana yuko wapi mbona kimya sana baada ya mchakato wa kumpata mgombea wa uraisi kupitia CCM kumalizika?!!au naye alikuwa team Lowasa? so ameamua kujiweka pembeni wakati CCM inakufa natural Death?!!
 
Kwa watu ambao tunajua mambo haya ya intelijinsia na stratejia ni wazi kubaini wazi kuwa kuna ombwe kubwa la kimkakati katika uongozi wa ccm.Baada ya uongozi wa juu wa ccm chini ya mwenyekiti wao tAIFA kuwa na wagombea wao mfukoni na wengine kuona kama rejects wangeona mbali zaidi na kuweka mechansims ya kuthibiti na counter attack rebellion yoyote ndani ya chama ambayo ingeweza kutokea.

Hilo ccm hasa mwenyekiti wake hakuweza kuwaza na kuwaza beyond the horizon.

Njia mojawapo ili kuwa kucheza na tume na ratiba ya vyama kuhakikisha kuwa vyama vyote vina kamilisha michakato ndani ya vyama kupata wateule wao ili kudhibiti uasi ndani ya chama.Katika michakato yote ya uchaguzi na uteuzi ndani ya vyama ccm ndio naona wanapoteza zaidi kama ambavyo inatokea kwenye kutafuta wagombea ubunge ambako huko ni ngumi mkononi na matusi ya wazi wazi kati ya watia nia.

Udhaifu mwingine ni pale ccm ilipoweka wazi kwa watia nia wote wa Uraisi walioshindwa uteuzi kurudi kugombea nafasi zao za ubunge kitu ambacho ni dhahiri shairi watia nia wa uraisi walishakusanya fedha nyingi za kampeni za uraisi sasa wanamwaga rushwa tu kwenye ngazi za ubunge na kufanya mazingira kuwa tight.

ccm kwa heri na mfumo fisadi kwa heri.

LOWAS KARIBU UKAWA TUNAKUHITAJI

Hayo niliyoyaonesha, binafsi nimekuwa sikubaliani nayo ktk nchi ya demokrasia. Hatuna haja ya kutumia nafasi zetu za madaraka kuharibu mchakato mzima wa demokrasia. Mtu ndani ya chama kusema sitaki yenu, ni jambo la kawaida na yabidi livumiliwe. Kucheza na ratiba ya uchaguzi ni sabotage na hatuwezi kukipongeza chama eti kwa mbinu ya kisiasa kama hiyo.

Hali hiyo unayosema ikiachiwa ni kama kifungo. Wanasiasa wanajikuta ktk hali waliyonayo sasa hivi, kwamba wamo wengi ambao hawaamini yanayofanyika ndani ya chama lakini hawatoki kwa kukosa upenyo. Open-air politicking should be our norm and no to intrigues!
 
Kwa watu ambao tunajua mambo haya ya intelijinsia na stratejia ni wazi kubaini wazi kuwa kuna ombwe kubwa la kimkakati katika uongozi wa ccm.Baada ya uongozi wa juu wa ccm chini ya mwenyekiti wao tAIFA kuwa na wagombea wao mfukoni na wengine kuona kama rejects wangeona mbali zaidi na kuweka mechansims ya kuthibiti na counter attack rebellion yoyote ndani ya chama ambayo ingeweza kutokea.

Hilo ccm hasa mwenyekiti wake hakuweza kuwaza na kuwaza beyond the horizon.

Njia mojawapo ili kuwa kucheza na tume na ratiba ya vyama kuhakikisha kuwa vyama vyote vina kamilisha michakato ndani ya vyama kupata wateule wao ili kudhibiti uasi ndani ya chama.

Katika michakato yote ya uchaguzi na uteuzi ndani ya vyama ccm ndio naona wanapoteza zaidi kama ambavyo inatokea kwenye kutafuta wagombea ubunge ambako huko ni ngumi mkononi na matusi ya wazi wazi kati ya watia nia.

Udhaifu mwingine ni pale ccm ilipoweka wazi kwa watia nia wote wa Uraisi walioshindwa uteuzi kurudi kugombea nafasi zao za ubunge kitu ambacho ni dhahiri shairi watia nia wa uraisi walishakusanya fedha nyingi za kampeni za uraisi sasa wanamwaga rushwa tu kwenye ngazi za ubunge na kufanya mazingira kuwa tight.

ccm kwa heri na mfumo fisadi kwa heri.

LOWAS KARIBU UKAWA TUNAKUHITAJI

Japo mimi si ukawa na wala sifungamani na upande wowote but this is very true, extremely true!
 
mungu ni mwema sana amesikiliza dua zetu hatimaye ccm imekufa kifo kibaya cha mende!
 
kusema kweli nenda sehmu yoyote ukitaja ccm watu wanakuangalia vibaya ukitaja ukawa utadhani umempa maji mtu aliyekuwa na kiu!!
 
Siku ya kufa nyani, miti yote inateleza, hakuna cha intelijensia wala stratejia!
 
Strategy ya CCM mbovu?????????? Pokea huyo Lowasa kwanza.Halafu mengine yatafwata ndio utajua strategy ya CCM nzuri au mbovu.Kamwuulize kingunge hana hamu na ma-stategist wa CCM.Kachoka kuliko umri wake.
 
Kwa watu ambao tunajua mambo haya ya intelijinsia na stratejia ni wazi kubaini wazi kuwa kuna ombwe kubwa la kimkakati katika uongozi wa ccm.Baada ya uongozi wa juu wa ccm chini ya mwenyekiti wao tAIFA kuwa na wagombea wao mfukoni na wengine kuona kama rejects wangeona mbali zaidi na kuweka mechansims ya kuthibiti na counter attack rebellion yoyote ndani ya chama ambayo ingeweza kutokea.

Hilo ccm hasa mwenyekiti wake hakuweza kuwaza na kuwaza beyond the horizon.

Njia mojawapo ili kuwa kucheza na tume na ratiba ya vyama kuhakikisha kuwa vyama vyote vina kamilisha michakato ndani ya vyama kupata wateule wao ili kudhibiti uasi ndani ya chama.

Katika michakato yote ya uchaguzi na uteuzi ndani ya vyama ccm ndio naona wanapoteza zaidi kama ambavyo inatokea kwenye kutafuta wagombea ubunge ambako huko ni ngumi mkononi na matusi ya wazi wazi kati ya watia nia.

Udhaifu mwingine ni pale ccm ilipoweka wazi kwa watia nia wote wa Uraisi walioshindwa uteuzi kurudi kugombea nafasi zao za ubunge kitu ambacho ni dhahiri shairi watia nia wa uraisi walishakusanya fedha nyingi za kampeni za uraisi sasa wanamwaga rushwa tu kwenye ngazi za ubunge na kufanya mazingira kuwa tight.

ccm kwa heri na mfumo fisadi kwa heri.

LOWAS KARIBU UKAWA TUNAKUHITAJI

Mwigulu Huyo
 
Viongozi wa CCM hawana huo uwezo wa kuangalia mbali, walikuwa busy kuangalia matumbo yao huku wakimuona Kingunge ni kichaa, leo hii Kingunge kawa man of the match
 
Dah! Mganga wa kienyeji kacheza kama Pele. CCM nao ni wajinga, walishindwa nini kumtumia Profesa Maji Marefu akawatabiria yajayo badala ya kuingia kichwakichwa kwenye kina kirefu?
 
kusema kweli nenda sehmu yoyote ukitaja ccm watu wanakuangalia vibaya ukitaja ukawa utadhani umempa maji mtu aliyekuwa na kiu!!

Haha mkuu nimeshuhudia hilo hata kwenye vituo vya kuandikisha kupiga kura watu wana hasira hatari
 
Dah! Mganga wa kienyeji kacheza kama Pele. CCM nao ni wajinga, walishindwa nini kumtumia Profesa Maji Marefu akawatabiria yajayo badala ya kuingia kichwakichwa kwenye kina kirefu?

"Profesa Maji Marefu?" Bahati mbaya kwao mtabiri waliyemwamini na aliyekuwa akimlinda JK kwa majini ameshatangulia mbele ya haki. Oh! Sheikh Yahaya Hussein (RIP).
 
Back
Top Bottom