Inteligency question on 7 dead men.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,633
20,975
•Huko walipofia,kwa nini hawakuwachimbia waamiaji haramu wenzao mpaka wawa peleke mto.
•Nadhani ilikuwa ni rahisi zaidi kuwazika kuliko kuwatupia mto ruvu huku wakiwa wamefungiwa vitu vizito.
•kumfungia maiti ndani ya Rambo na kuishona juu yake / inaonyesha picha gani?...
•possibly lilikuwa jambo la harakaharaka sana....
•je watu ambao ndio ndugu zao walifariki(wahamiaji haramu) wangekukuwa na uharaka huo kwa lipi wakati wapo porini mafichoni.
[HASHTAG]#Ongezea[/HASHTAG] inteligency za kina jinsi udhaniavyo...
 
Kuwatupa ni rahisi kuliko kuwazika!trust me!kuchimba kaburi la mtu mmoja tu ni issue sasa itakuwa hao sita sijui 7?
 
Hiyo mifuko hadi kuishona kuibeba hadi kuitumbukiza kwenye maji ni process ndefu.he hawa wauaji kwanini wake afu waanze kuhangaika na kuweka mait kwenye mifuko ksha kubeba mait mpaka mtoni nakuitumbukiza?sio kweli hii ningumu sana tens mno mno sana.serikali ifatilie hili jambo kwa makini sana.na je kama niwahamiaji haramu aliye waua ninani nalikuwa anaua kwa lipi?
 
Back
Top Bottom