Inamaana hiyo inampita intel core i7?
Sijui na Intel xeone?
Hivi computer ikiwa na HDD 1TB +24GB SSD
Hizo SSD mbona nikienda my computer siioni?
Sijui kama hii itajibu swali lakokaka elewa haya mambo matatu kwanza
1.hdd
2.ssd
3.cache
hdd hii inastore vitu kwenye pc yako lakini ipo slow na pia ni bei rahisi
ssd hii nayo pia inastorr vitu kwenye pc yako ila ni super fast ila bei yake pasua kichwa.
ssd ya 128gb ni bei ghali kushinda hdd ya 1tb.
hivyo kusave cost wakakuekea hdd kubwa na ka ssd kadogo.
cache yenyewe ni storage ya muda ambapo mafile yatakayotumika kwa muda unaotumia pc yako yanakaa.
mfano unaangalia video online au unaperuzi basi yale mafile yanakaa kwenye cache.
hio ssd inatumika kama cache. sababu hdd ipo slow ssd inatumika kufanya daily needs zako hdd inabakia kuvistore tu. usipoangalia movie itakaa kwenye hdd ukiiangalia itakuja kwenye ssd.
hope umeelewa.
pc yako ina chip gani? nipe jina la processor kamili. kuna software/driver zinahitajika ili kuienable hio feature.
Sijui kama hii itajibu swali lako
- Intel® CoreTM i7 4510U Processor - Black Color
- 15.6" 16:9 HD (1366x768) Display,
- 8GB DDR3L 1600(O.C.) MHz SDRAM Memory - 1TB HDD 5400RPM with 24GB SSD Cache Storage
yap inasuport kwanza angalia kwenye pc kama kuna kitu kinaitwa intel RST (rapid storage technology) kama hakuna nend hapa support yake ndo ilivyo angalia requirement zake pamoja na kudownload
Support for the Intel® Rapid Storage Technology (Intel® RST)
hata baada ya ku install hizo drivers nikienda kule "This PC" Nakuta tu HDD hiyo ssd haitokei
haitatokea kaka sababu inatumika kama cache.
yani ukiwa hutumii pc inakuwa empty na ukiwa unatumia inajaa kadri matumizi yanavyoongezeka.
Hapo nimekusoma mkubwa maana nilidhani nayo itatokea pale kati...
Na je pc ikita na windows 8.1 na baadae ukataka ku upgrade to win 9 lkn baadae tena ukata urudi 8.1,je activation process inakua je hapo(achana na ile pirated way) na pc haikuja na CD na wala hamna somewhere wameweka keys
chini ya laptop hamna key? kwenye kitako huko.
tetesi ni kwamba w9 itakua free kama tayari una licence ya w8 na w7.
hivyo ukiipata key yako utaweza ku update na kudowngrade unavyotaka.
bila key itakuwa ngumu ukitaka kudowngrade utaweza kwenda mbele tu.