INTEL CPU Core i5 vs. Core i7: What's the Difference?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Mara nyingi inatokea hawa wanateknolojia wanatuchanganya na misamiati bila sisi watumiaji kujaribu kujua hasa kuna tofauti gani za kitaaamu na kiufundi zinasabaisha misamiati hii. Usipokuwa makini unaweza kuuziwa hata simu ya Nokia 2600 kwa bei ya Nokia 5800 sabbau tu Imewekwa kwenye kasha la nokia 5800 .. Watu wa masoko kazi yao ni kujaribu kutumia maneno kama 3g, 4g. Lakini tofauti za kiteniki ni nini utashangaa.

Inaweza kutokea pia kwa kufuata Misamiati hii unanunua kitu amabcho ni cha gharama kubwa lakini haukihitaji au kile kinachosabibisha gharama hauna matumizi nacho . Mfano kwenye hizi CPU za intel unaweza kuona misamiati kama Intel core i3, core i5 na core i7. Kwa harak haraka sababu ya ubora unaweza kushawishika kununia kile cha gharama. Ni wazi toleo lamwish linaweza kuwa ni bora zaidi ya lile la nyuma. Lakini kama mwanateknolojia jiulize ni features gani za kitekniki zimebadilika?

Cha kujiuliza je hili toleao jipya au la ghrama lina/halina vitu vya ziada amabvyo si muhimu kwangu. Je hili teleo la nyuma sio chagua bora zaidi.?

Kwa hiyo ili ufanye maamuziz sahihi ni bora kujua lakini kama mshiko Sio tatizo wala issue kabisa basi nenda nenda ni ile kitu wanasema na wakati kwa kuwa na latest. Lakini kama ni mtu unayepedna kujua zaidi kile unachonunua basi soma mambo kama hay chini.


Endelea usoma Uchambuzi wa kitaalam wa product za intel ccore hapa

Soma hapa kujua Tofauti ya core i3 na core i5
 
Branding is, I'd say, a core to any business.

Wanachokifanya ni hardcore branding ili wauze, hasa ukichukulia kuwa kwa wenzetu kuna makampuni ambayo kwa kutaka utofauti wanaweza ku-contract kampuni kama Intel au Nokia ili wawatengenezee products fulani kwa ajili yao tu. (Inawezekana ikawa ni ile ile ya kwenye consumer market ila kutokana na branding watu wakawehuka)

Pia kuna swala la wapi product hiyo iko intended kuuzwa -- say Asia, Europe, US au MEA. Unaweza kukuta aina fulani ya simu, kwa mfano, inajulikana kwa jina tofauti kwa kila market region.

Ni somo hili kwetu pia, strong brand sells!
 
Kwa hiyo Kati ya hizi tatu Intel core i3, core i5 na core i7 hakuna tofauti yoyote ile? ni biashara tu wanafanya ili waweze kupata pesa nyingi?
Mzizimkavu
sio Kwa intel tu hii ni kwenye vitu vingi mfano kama Nokia. Kuna simu zao Model , design tu ya nje na bei zina ofauti lakini ukichunguza kwa makini features na specs kuna baadhi ya modelzimepewa majin tofauti lakini hazina tofauti ya kitenii ya kusababisha mtu aliwe pesa

Iphone nao walikuja na model ya simu inaitwa 4g. Nadhani kun watu wengine wakinunu hii simu wanadhani ni ile 4g ni teknolojia ya mawasiliano baaaya 3g kama ilivyo 2g,3g,4g. Lakini ukisoma utaona ile 4g ya Iphone ni jina tu haina uhusianao wowote na 4g ya data communication.


Yap mkuuu Gurta uko sahihi
Mambo ya branding ndio nimetaja mfano wa iphone 4g. Nice brand name inawavutia watu lakini je iphone4g ni 4g ya data communication?
 
Hizi Intel Core i3, i5 na i7 ni chipset katika computer ambazo zipo fast katika handling na processing of data ukilinganisha intel pentium, celeron na centrino,,,,
 
Hizi Intel Core i3, i5 na i7 ni chipset katika computer ambazo zipo fast katika handling na processing of data ukilingabisha intel pentium, celeron na centrino,,,,
Hatukatai kuwa hizo Intel Core i3, i5 na i7 ni chipset katika computer zinakwenda Fast tunachotaka kujuwa kunatofauti gani kati ya Intel Core i3, i5 na i7? au ndio Mambo ya Biashara tu? kila Siku badilisha jina kisha uza? itakuja mpya inayoitwa Intel Core i8 na Watu watanunuwa kwa haraka haraka ni wizi wa akili ya kibiashara hakuna tofauti yoyote ile kati ya hizi Intel Core i3, i5 na i7 ni wizi wa akili sana hahahahah wajinga ndio waliwao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…