Integrating a custom made software with TRA's Electronic Fiscal Devices

Astro

Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
45
Reaction score
24
Habari zenu wakubwa,
Nina maswali machache kuhusu hizi mashine za TRA (ELECTRONIC FISCAL DEVICES) kwa upande wa software development pale ninapohitaji kufanya integration na accounting software ya kwangu mwenyewe.



  • Je inaruhusiwa kuunganisha your custom made Transaction processing software na hizi machine za TRA ?
  • Kama inaruhusiwa ni wapi ninapoweza kupata documentation itakayo-nipa maelekezo ya njia na sheria za kufuata katika integration ya machine yao na software yangu ?
  • Je kuna uwezekano wa kufanya integration ya machine hiyo na a web based application developed with a solution stack kama ya LAMP (Linux,Apache, MySql and PHP) au ni lazima kutengeneza hizi desktop applications (developed kwa vb.net, c# or any other similar languages).

With my little experience kwenye hii field ya software development when it comes to hardware integration with my software I prefer to develop desktop applications because of their capabilities of interacting with the windows environment e.g through WMI queries.

Kama kuna an alternative powerful language kwa web applications inayoweza kufanya interaction na hardware components za computer i am open to any suggestions.

Thank you in advance for your help and suggestions.
 
desktop applications ndio zina uwezo mkubwa wa kufanya interaction na hardware.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…