Hiyo course kama maisha hayaeleweki mtaani yaani huna connection na huna uwezo kufungua ofisi yako tatizo,nina Mshikaji wangu kapiga IFM mwaka juzi sasa hivi anauza duka lao home si kwamba vibaya yeye kuuza duka ila ni course ambayo haina hope hata kufanya usaili unaweza ukawa unakusikia kwa wenzio.