Install Android

Petiro

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
309
Reaction score
45
Wadau naomba msaada wa jinsi ya kuchange Bada OS kwenye Samsung wave na kuweka Android OS
 
Nashukuru kwa ushauri wako
 
Sina utaalamu wa aina ya simu uliyonayo, lakini Mimi Nina HTC hd2 window phone 6.5 ambayo nimeweza kuibadilisha from window os to android os. Kwanza kabisa niliiupgrade from window 6.5 to window 7.8 ingawa hapa sikuwa confortable kwakua access to window market place ilikua issue. Kwahiyo nikapiga chini window 7.8 nikaweka android 2.2. Baada ya hapo nikaipiga chini android 2.2 na sasa nina android 4.1. Haya yote ni kazi ya xda developers kama mdau alivyowagusia kwenye post yake. Kumbuka hizi process zote ni illegal so do it at your own risk. Kazi kwako ingia Google watafute hao jamaa unaweza bahatika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ