Wadau,
Kwa yoyoye anayeweza kushea (infuluencers wa instagram) ninaoweza kuwatumia katika advertising/marketing opportunities. Nina kibishara changu nataka kukitangaza kwa kutumia watu wenye ushawishi mkubwa na followers wengi kwa upande wa Insta. Asanteni kwa ushirikiano nitakaopata.