Inside Celebrity Closets....!!!!

Na haya ndiyo utakayoyakuta kwa closet za wasanii wetu wa bongo fleva na movie:
 
Hapo mama wa kibongo ana pea moja tu!! Kweli watu wanatofautiana
 

Wakifanya hivyo kamanda mitumba itakuwa haikuji huku kwetu, tembelea stand ya mwenge jioni uone wadada wanavyofanya shopping hapo. Akiwa na 50000 anajaza kabati...
 
Hawa wote ni punguani; miguu yenyewe miwili jozi zote hizo za nini? Pengine wangetoa jozi nyingine kwa maskini waliojaa marekani wangepata thawabu!!!!

Hizo thawabu tunajua mimi na wewe mkuu, wao hawaani hizo mambo!
 
Mkuu,
Watu wana pesa na hawajui wazifanyie nini.

Kwao wao na kwa mawazo yao, pesa ni zao na ni kwa matumizi yao kwa sababu wametafuta kwa jasho lao.
 
Wakifanya hivyo kamanda mitumba itakuwa haikuji huku kwetu, tembelea stand ya mwenge jioni uone wadada wanavyofanya shopping hapo. Akiwa na 50000 anajaza kabati...

au kule Makumbusho........

waache tu wanunue na sie tuje kupata vya kuvaa tu
 

Yani ni wehu mkubwa na kufuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…