Inside Celebrity Closets....!!!!

Kuna siku naangalia Keeping up with the Kardashian aisee nguo za Kim utabaki hoi

na hiyo siku madesigner wa Kanye walikuja wakachagua ni nguo gani zibaki

na nyingine zikatolewa then zikawekwa nyingine tena mpyaaa
 
Acha kabisa watu wana doo!
 
mmh hawa nao wamefungua boutique ?? ujasiriamali unalipa jamani...
 
hilo kabati la viatu nikipewa nikafanya biashara mbona itanitoa kimaisha
 
huu ni wehu tu

mwaka mmoja una siku 365

that mean mtu akiamua kuvaa kiatu kipya kila siku
anahitaji viatu 365 tu
sasa mtu ananunua viatu 3000..vya nini?
na kila mwaka anongeza vingine 2000 labda for what?

huu ni wehu mtupu..

na mnao shabikia wehu huu mtakuwa na ugonjwa huu pia
 
hao wote ni wachovu tu kwa kwa chakla ya diomond,wema zoleo.twi twi twi.
 
Hahaha ila mkuu si unajua money can make u do crazy things!
 
Kuna siku naangalia Keeping up with the Kardashian aisee nguo za Kim utabaki hoi

na hiyo siku madesigner wa Kanye walikuja wakachagua ni nguo gani zibaki

na nyingine zikatolewa then zikawekwa nyingine tena mpyaaa

Binamu wewe pea zinahesabika...?
 
Hawa wote ni punguani; miguu yenyewe miwili jozi zote hizo za nini? Pengine wangetoa jozi nyingine kwa maskini waliojaa marekani wangepata thawabu!!!!
 
The Boss, umenea mkuu, huu n wehu wa kuwa na too much pesa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…