Insecurities in nairobi city

Ukitathmini hapo inawezekana hiyo grill ina thamani kuliko hicho kioo husika. Waafrika Mungu tuhurumie.
 
Reactions: ydn
Kioo kikiibiwa mara kumi kinazidi bei ya grill. Kinga ni bora kuliko tiba. Thinking outside the box.
 
Najiuliza inamaana hiyo grill kaifunga kwenye gari au shingo ya hiyo kioo nimcheke!!
 
Mwizi hapo anaondoka na vyote / endapo ingekuwa ni tz.
 
Beba grill lote sidemirror ndiyo ajue vibaka hawapendagi ujinga
 
Nimependa ujinga aliofanya maana wakija wenye Mali wanaondoka na vyote
 
Amefunga na kufuli. Inakuwa ngumu zaidi kuiba kwa urahisi.
 
Kioo kikiibiwa mara kumi kinazidi bei ya grill. Kinga ni bora kuliko tiba. Thinking outside the box.
Mwenzako kaweka box kabisa wewe unasema think outside the box?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…