Mi nadhani kinachowachosha wachezaji ni ahadi za uwongo uwongo na tuhuma za mara kwa mara team inapofanya vibaya
Siasa za kwenye hizi team ni za hovyo sana ,unaweza kupewa jina baya mda wowote imagine Kuna siku walisema Mkude akapimwe akili na kupewa rehab
Imagine umekaa na familia Yako mara unasikia taarifa kama hiyo halafu kesho unatakiwa ukacheze kwa nguvu huku mshahara wako godfather mmoja asiejua hata kupiga danadana kaukata 40%
Pathetic Inonga aje yanga club above all