Maono ya kitu gani? Utopolo wanaikwamisha vipi Simba kwa ilozi? Embu elezeaSimba ina maono sana ila inakwamishwa na UTOPOLO kwà ulozi
Ukumbuke kuwa klabu ya Simba inatambuliwa na CAF kama klabu Kiongozi Katika maswala ya kishirikina barani Afrika.Simba ina maono sana ila inakwamishwa na UTOPOLO kwà ulozi
Nabi tayari anamtaka kwa udi na uvumbaInonga hatabakia Simba msimu ujao vinginevyo Simba ipasuke haswaa
Mnataka sana tutumie Chamanzi kuna nini metuwekea ndugu zetu wananchi?Ukumbuke kuwa klabu ya Simba inatambuliwa na CAF kama klabu Kiongozi Katika maswala ya kishirikina barani Afrika.
Hii Ina thibitishwa na baadhi ya wachezji wa klabu iyo kulalamika kwa watu wao wa karibu kuwa vitendo vya kishirikina vime kithiri kiasi Cha wachezaji aki fua/Fanya usafi, ahakikishe analinda nguo au vifaa vyake mpaka vinapo kauka ili kuepuka wachezji wachawi ku kwapua na kwenda kuvifanyia ushirikina.
Uongozi wa klabu iyo umejipambanua zaidi baada ya hivi karibuni ku ukataa uwanja wa Azam complex kwa madai hawapati matokeo kwakua uwanja wa Azam una mazingira magumu kwao kupata ushindi kupitia njia za kishirikina.
Lakini Ime fahamika kua Azam hawataki uwanjawao uchimbwe na kufukiwa makafara na klabu iyo ya msimbazi kama ilivyo fanikiwa ku uharibu uwanja wa Benjamin Mkapa na kupelekea nyasi za uwanjauo kukauka na kuonekana kama zilizo pigwa na radi.
Hali iyo inafanya viongozi wa Simba kuona wananyimwa haki Yao ya msingi katika vitendo hivyo vya kitamaduni.
Hili ni kweli kabisa Ulozi na mipango mipango ya nje ya uwanja ndio inawapa uto jeuri ya kukaribiana na Simba ila vingnevyo ni timu mbili tofauti kabisa, Simba ina viongozi wenye maono ya mpiraSimba ina maono sana ila inakwamishwa na UTOPOLO kwà ulozi
Simba inakandwa kabla ya Chamazi haijajengwa.Mnataka sana tutumie Chamanzi kuna nini metuwekea ndugu zetu wananchi?
Na hapo ndipo mnapolikosea heshima mchezo wa mpira wa miguu, mna matatizo kwa wachezaji wenu, scouting na viongozi wenu ila lawama wanapewa Yanga kwa kuwalogea uwanja.Hili ni kweli kabisa Ulozi na mipango mipango ya nje ya uwanja ndio inawapa uto jeuri ya kukaribiana na Simba ila vingnevyo ni timu mbili tofauti kabisa, Simba ina viongozi wenye maono ya mpira
Yaani timu inayosajili Inonga na Che Malone ina scout mbovu ila inayosajili Gift Fred na Doumbia hao ndio hawana shida kwenye scouting?Na hapo ndipo mnapolikosea heshima mchezo wa mpira wa miguu, mna matatizo kwa wachezaji wenu, scouting na viongozi wenu ila lawama wanapewa Yanga kwa kuwalogea uwanja.
Simba imecheza michezo nane ya kimataifa msimu huu lakini imeshinda mechi moja pekee.
Imecheza michezo minne away na haijashinda mechi hata moja, je hao uto waliwafiata hadi huko nje ya mipaka ya Tanzania kuloga viwanja?
Mechi mlizoshinda za ligi, uchawi wa uto uwanjani ulikuwa wapi hadi mshinde?
Dah Mzee umemchana mbaya mbovu .........Yaani timu inayosajili Inonga na Che Malone ina scout mbovu ila inayosajili Gift Fred na Doumbia hao ndio hawana shida kwenye scouting?
Ndio maana nikasema ni ulozi tu na mipango ya nje ya uwanja hivi mchezaji kama Mzize,Musonda au Max wana uwezo gani kiuhalisia wakumsumbua beki kama Inonga au Zimbwe Jr we unadhani ni kawaida ile
Hao Yanga unaosema wanafanya vizuri kimataifa wapo makundi hapo wamecheza michezo minne sawa na Simba nikuulize wamekusanya point kumi na ngapi?
Kwahiyo Inonga na Che Melone ndio wachezaji pekee uliowaona mmesajili? Unataka tuanze kufungua makaburi yenu humu mkiwa mnalalamika kuhusu kusajili magarasa?Yaani timu inayosajili Inonga na Che Malone ina scout mbovu ila inayosajili Gift Fred na Doumbia hao ndio hawana shida kwenye scouting?
Ndio maana nikasema ni ulozi tu na mipango ya nje ya uwanja hivi mchezaji kama Mzize,Musonda au Max wana uwezo gani kiuhalisia wakumsumbua beki kama Inonga au Zimbwe Jr we unadhani ni kawaida ile
Hao Yanga unaosema wanafanya vizuri kimataifa wapo makundi hapo wamecheza michezo minne sawa na Simba nikuulize wamekusanya point kumi na ngapi?
Ni sifa Kwa Simba kama akila Mayele na Yule goalkeeper WA Mali. Kama kiwango kimekuwa akacheze hata mambele.Inonga hatabakia Simba msimu ujao vinginevyo Simba ipasuke haswaa
Endelea kuamini katika uchawi.Dah Mzee umemchana mbaya mbovu .........