::nadhani na hii ni mbinu watakuwa wanaitumia CCM! Yaani wanakupigia cm kuwa kuna watu wanagawana rushwa, ukifika wanakuua. Hii mbinu kama ikifanikiwa maana yake watakuwa huru kugawa rushwa, maana wana CDM wataogopa. Lakini naamini CDM ina uwezo wa kuchambua mambo na mbinu za kisomi zaidi. Hili ni fundisho kwa CDM. Na kama hawatachukuliwa hatua wahusika basi 2015 kutakuwa na vita!