Ingizo jipya sokoni

Kwani na hii imeagizwa na serikali!
 
Bei gani hiyo?..
Nahitaji kama nne hivi...!
 
Yule mtabiri angekuwa hai, angekuwa wa kwanza kuingiza hii. RIP.
 
wenye pesa wanafaidi haya mzigo mpya huo wakuchukulia wale wapenda usafiri
 
Mkuu acha kututia unyonge nduguzo! 4 zote za nini? Mi nimekosa mkopo wa Ndalichako! Unashindana na Bombadier?
za wanangu wawili, moja yangu na nyingine ya my queen!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…