jujoka Member Joined Aug 11, 2013 Posts 42 Reaction score 9 Aug 25, 2013 #1 Wana JF hivi viongozi wote Tanzania wangewekwa MAISHA PLUS kina nani wangetolewa haraka na nani angeshinda na kwa nini?
Wana JF hivi viongozi wote Tanzania wangewekwa MAISHA PLUS kina nani wangetolewa haraka na nani angeshinda na kwa nini?
Gumilapua JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 935 Reaction score 734 Aug 27, 2013 #2 jujoka said: Wana JF hivi viongozi wote Tanzania wangewekwa MAISHA PLUS kina nani wangetolewa haraka na nani angeshinda na kwa nini? Click to expand... bila shaka we huna cha maana cha kufanya saa hizi, ila kama ni viongozi wa kisiasa nadhani atakaebaki mwisho, yaani mshindi ni Mnyika na wa kwanza kuwa evicted atakuwa Nepi Nahuyo! Ni mtazamo tu
jujoka said: Wana JF hivi viongozi wote Tanzania wangewekwa MAISHA PLUS kina nani wangetolewa haraka na nani angeshinda na kwa nini? Click to expand... bila shaka we huna cha maana cha kufanya saa hizi, ila kama ni viongozi wa kisiasa nadhani atakaebaki mwisho, yaani mshindi ni Mnyika na wa kwanza kuwa evicted atakuwa Nepi Nahuyo! Ni mtazamo tu