Pride FM ya Mtwara nayo ningeiwekea frequency zake iwe inashika miji mikubwa vi-a viz: Dar,Arusha, Mwanza na Mbeya Tanga n.k, ikiwa sawa na Ebony FM pale Iringa Town. Radio mbili hizi za mikoani, kwa kweli kwenye miji niliyozunguka Tanzania, jamaa wako vizuri(I stand to be corrected)