Ingekuwa hivi ingependeza sana..

Pule

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2024
Posts
412
Reaction score
767
Habari wadau....Hawa Azam fc walichukulia poa sana CAF champions league mapema tu wamerudi nyumbani, ikiwapendeza sisi Simba watupe Feisal na sillah kwakuwa hata kwenye ligi msimu huu watashika nafasi ya tatu tunashida na hao watu wawili tu kutoka kwao. Nawapa pole wanarudi kinyonge sana
 
Mmetumia bil 7,mnashindwa kuforce kuwapata hao wachezaji?
 
Tamaa nyingine zinafurahisha na kuhuzunisha kwa wakati mmoja.
 
Hiyo mchezo majina ya wachezaji watakao shiriki pamoja na vilabu watakavyo vitumikia hupelekwa CAF hiyo michuano siyo ya ndondo cup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…