masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,212
👍mbona ngefurahi sana ndo ningeongeza zaidi
Watu wananyonya tigo itakuwa hivyo vipatiko!! Nakiss tu, mapenzi uchafu
Au unamuuliza ulipiga mswaki anakwambia
'ahh huwezi amini mswaki siuoni hii siku ya tatu'
Usafi wa mdomo muhimu hata ukitoka kutapika!
USISEMEE WATU
je wewe?
Mimi ni vegetarian, situmii nyama
bora iyo je unakuta mpenzio na jino bovu linalouma lililotobolewa na mdudu
Mapenzi si uchafu...? Je wale wanaozama chumvini alafu mwasi anakwambia ndo ametoka kumaliza blid..? Ni vile vile tuu
Hahaha alafu wenye majino mabovu ni wengi
Wewe uzamagi?