😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Ipo siku mtaliwa wote kijana....kama upo tayar kuliwa endelea kula
Yani wewe jamaa comments zako zote, Ni Bavicha, Chadema na konyagi ya mbowe. Kima mweusi wewe huku sio jukwaa la siasa. Utakufa kwa presha.Bavicha majanaga
Aca maswali ya kipumbavu....Nipo nae kitandani tena ni usiku mkubwa, mara sim yake ikaita basi siiuongea chochote akapokea wakawa wanaongea kiluga cha kikwao. Nilìpomuuliza akasema ni kaka yake baada ya kumbana na kibao kimoja takatifu ikabidi aseme ukweli kwamba ni mshkaji wake ila ni wa kitambo hua anamchunaga tu na mzigo hampi na hapo alimpiga mzinga wa laki 4 akasema tutagawana pasupasu nisijali. Ndivyo nilivyokatwa makali. Kweli kesho yake mshkaji katuma akanigaia zangu 2.
Sasa nauliza kuna mapenzi ya kweli hapo au ndo mwendo wa kupotezeana muda? Wazoefu naomba weledi wenu na wakina dada niwekeni wazi.
HahahaMkuu huyo mbona mzuri sana,unapewa papuchi pia unapewa na hela...wewe mapenzi unayajua? Unayataka ili uyapeleke wapi?
HahahaSioni tatizo hapo. K si anakupa? Unakwama wapi? Wewe akija kwako muone kama bikra, akienda akimpa na huyo mwenye ukwasi fumba macho.
Na kama atakugawia na huo mkwanja ndo kabisaa, kamtambulishe home.
HahahaNipe namba yake nimshauri utakuja kunishukuru siku za usoni mkuu!
Hizo avatar zenuYani wewe jamaa comments zako zote, Ni Bavicha, Chadema na konyagi ya mbowe. Kima mweusi wewe huku sio jukwaa la siasa. Utakufa kwa presha.