jikuTech

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2023
Posts
228
Reaction score
290

PROGRAMMING NI NINI?

Programming ni mchakato wa kuunda program za kompyuta kwa kutumia lugha za kompyuta. Programu hizo ni maagizo ambayo kompyuta inafuata ili kutekeleza kazi flani.

Mfano: unaweza kutumia lugha ya kompyuta kama vile java kuunda programu ambayo itafanya mahesabu ya kujumlisha namba mbili.

Kwa nini ni muhimu kujifunza programming??​

Mimi nazani sio vibaya kama ukipata lolote kati ya haya
  • Unaweza kuwa mbunifu ukatengeneza au kuunda programu zako mwenyewe hadi programu za biashara
  • Unaweza kuvumbua suluhisho na ukatatua matatizo ya kila siku ndani ya jamii
  • Kuna uhitaji mkubwa wa watu wenye taaluma ya programming katika maeneo mengi
  • Kujifunza programming itakusaidia kuelewa jinsi technolojia inavyofanya kazi.
Programming ni mkusanyiko wa maelekezo ambayo kompyuta inaweza kuelewa na kutekeleza
Mfano: Programu ya Calculator ( kikokotoo) programu hii inaeleza jinsi ya kujumlisha, kutoa,kuzidisha na kugawanya namba na mengine....... mfano mwingine ni mfumo wa undeshaji , programu hii inaeleza kompyuta jinsi ya kuwasiliana na vifaa kama kibodi, kipanya,monitor na kuendesha programu zingine. View 10
Bonyeza HAPA Ingia kwenye mafunzo haya, Ujifunze moja kwa moja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…