jikuTech

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2023
Posts
228
Reaction score
290

PROGRAMMING

Nilikueleza kwamba tutajifunza zaidi kuhusu teknolojia ya kompyuta katika Tehama ndio lengo na madhumuni ukiwa mdau wa Jiku Tech Tips.

Tujikumbushe maana ya kompyuta ..... Kompyuta ni kifaa cha kielektroniki ambacho huchukua taarifa/maagizo kutoka kwa mtumiaji na kuchakata taarifa / maagizo hayo chini ya udhibiti wa mipangilio ya maelezo maalum (inayoitwa programu) na kutoa matokeo (pato) na kutunza matokeo hayo kwa matumizi ya siku zijazo

Chini ya udhibiti wa mipangilio ya maelezo maalum. Kauli hii ndio imebeba kipengele cha programming katika teknolojia ya compyuta na ndio hasa tutajifunza mambo mengi ndani ya kauli hii. View 09
Bonyeza HAPA Ingia kwenye mafunzo haya, Ujifunze moja kwa moja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…