Mkuu on a serious note kabisa haya maneno mawili hayakutakiwa kuwa kwenye sentensi moja kabisa.......yaani xiaomi anashindana na kampuni kama vile Samsung kwa soko la India na baadhi ya emerging markets.....Xiaomi anauza almost worldwide isipokuwa marekani tu sababu ya mambo ya kisiasa/diplomasia....hao infinix ni subbrand ya Tecno ambazo hata China zinakotengenezwa hawazitumii.Angalia google search result ambayo nimeipata hapo kwa chini.....jaribu pia na wewe uone.Naomba mwenye uzoefu na brand hz mbili za simu toka China ipi bora? Ukirecommend na model itapendeza, nawatakia jioni njema
Hao tecno na ndugu zake hata 100 bora hawapoMkuu on a serious note kabisa haya maneno mawili hayakutakiwa kuwa kwenye sentensi moja kabisa.......yaani xiaomi anashindana na kampuni kama vile Samsung kwa soko la India na baadhi ya emerging markets.....Xiaomi anauza almost worldwide isipokuwa marekani tu sababu ya mambo ya kisiasa/diplomasia....hao infinix ni subbrand ya Tecno ambazo hata China zinakotengenezwa hawazitumii.Angalia google search result ambayo nimeipata hapo kwa chini.....jaribu pia na wewe uone.
Samsung ipo 1st tangu nimeanza tumia na enjoy sana super Amoled +feature za kibabe raha sana kitu smoothly.Mkuu on a serious note kabisa haya maneno mawili hayakutakiwa kuwa kwenye sentensi moja kabisa.......yaani xiaomi anashindana na kampuni kama vile Samsung kwa soko la India na baadhi ya emerging markets.....Xiaomi anauza almost worldwide isipokuwa marekani tu sababu ya mambo ya kisiasa/diplomasia....hao infinix ni subbrand ya Tecno ambazo hata China zinakotengenezwa hawazitumii.Angalia google search result ambayo nimeipata hapo kwa chini.....jaribu pia na wewe uone.
Xiaomi ipo juu ukilinganisha na infinixNaomba mwenye uzoefu na brand hz mbili za simu toka China ipi bora? Ukirecommend na model itapendeza, nawatakia jioni njema
Vp kuhusu model yao nzuri na latest,bei tsh ngapi kwa Dar? usinichoke asanteMkuu on a serious note kabisa haya maneno mawili hayakutakiwa kuwa kwenye sentensi moja kabisa.......yaani xiaomi anashindana na kampuni kama vile Samsung kwa soko la India na baadhi ya emerging markets.....Xiaomi anauza almost worldwide isipokuwa marekani tu sababu ya mambo ya kisiasa/diplomasia....hao infinix ni subbrand ya Tecno ambazo hata China zinakotengenezwa hawazitumii.Angalia google search result ambayo nimeipata hapo kwa chini.....jaribu pia na wewe uone.
Xiaomi Mi 8Vp kuhusu model yao nzuri na latest,bei tsh ngapi kwa Dar? usinichoke asante
Hazipatikani hapa Darngapi kwa Dar?
Zinakuja kwa orderHivi hizi Xiaomi sijui zinauzwa wapi kwasababu nazitafuta bila mafanikio kabisa