Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 684 Reaction score 201 Jun 10, 2018 #1 wadau ninasimu aina ya infinix note4 pro,hii Simu haikamati network huwa inaniandikia cellular data not available mwenye kujua jinsi ya kutatua hili tatizo la network anisaidie,shukrani.
wadau ninasimu aina ya infinix note4 pro,hii Simu haikamati network huwa inaniandikia cellular data not available mwenye kujua jinsi ya kutatua hili tatizo la network anisaidie,shukrani.
Prince Luanda JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 3,496 Reaction score 5,341 Jun 10, 2018 #2 Jaibu kuirestore
Mvuvi_papa Senior Member Joined Oct 25, 2012 Posts 142 Reaction score 67 Jun 10, 2018 #3 Hiyo itakuwa ya mchina TCRA wamei block
Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 684 Reaction score 201 Jun 10, 2018 Thread starter #4 nimerestore lakini wapi na hata hard reset nimefanya Hamna kitu na nimebadilbadili 2g/3g,3g,2g lakini wapi.
nimerestore lakini wapi na hata hard reset nimefanya Hamna kitu na nimebadilbadili 2g/3g,3g,2g lakini wapi.
majohe kona JF-Expert Member Joined May 23, 2018 Posts 257 Reaction score 263 Jun 10, 2018 #5 Tangu lini tecno ikawa simu bila matatizo hizo infinix ni brand ya Tecno sasa matatizo yataishaje
Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 684 Reaction score 201 Jun 10, 2018 Thread starter #6 ninachohitaji ni jinsi ya kutatua tatizo kwa anaefahamu na si vinginevyo
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,033 Jun 10, 2018 #7 Kabelwa said: ninachohitaji ni jinsi ya kutatua tatizo kwa anaefahamu na si vinginevyo Click to expand... Imei namba umechek tcra wansemaje?
Kabelwa said: ninachohitaji ni jinsi ya kutatua tatizo kwa anaefahamu na si vinginevyo Click to expand... Imei namba umechek tcra wansemaje?
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 Jun 10, 2018 #8 Majanga ya tecno
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,679 Reaction score 36,679 Jun 10, 2018 #9 infinix na tecno ni mtu na mdogo wake.. baba yao mmoja anaewatengeneza.. kiwanda kimoja.. so wanafanana tabia
infinix na tecno ni mtu na mdogo wake.. baba yao mmoja anaewatengeneza.. kiwanda kimoja.. so wanafanana tabia