Sio wao tu hata Redmi note 11 pro nayeye pia kaweka Helio G96Wangeweka hata dimensity series hyo G96 kila siku wao na tecno
Bora nikanunue Nokia yenye media Tek kuliko infinix yenye sifa hizoFahamu sifa ya Infinix NOTE 12 VIP
Kampuni ya Infinix imetoa toleo jipya la simu kwa mara ya kwanza yenye watts 120 !! tarehe 16 may 2022 , kampuni ya Infinix ilizindua matoleo matatu ya mfululizo wa series ya Note kuanzia Infinix NOTE 12 VIP , NOTE 12 pamoja na NOTE 12 PRO.
Unajua kwanini ununue Infinix NOTE 12 VIP !!
๐๐๐ค๐ง๐จ๐ฅ๐จ๐ฃ๐ข๐ ๐๐จ๐ซ๐ ๐ฒ๐ ๐๐๐ฌ๐ญ ๐๐ก๐๐ซ๐ ๐ข๐ง๐
Kupitia simu ya Infinix NOTE 12 VIP Kasi ya kuchaji Simu imekua Bora unaweza chaji simu na kujaa haraka bila kuhalibu mifumo ya Betri kuanzia asilimia 0% mpaka 100% ndani ya dakika 17 tu. Betri lenye 4500mah hivyo inafanya uchaji simu ndani ya muda mfupi sana.
๐๐ข๐จ๐จ ๐๐จ๐ซ๐ ๐ค๐๐๐ข๐ฌ๐ ๐๐ก๐ ๐๐ก๐ ๐๐ฆ๐จ๐ฅ๐๐ ๐๐ข๐ฌ๐ฉ๐ฅ๐๐ฒ
Nani asiyejua ubora wa Amoled Display!! Ni kioo kizuri chenye kuonyesha kitu kwa ubora wa Hali ya juu kabisa kwanza ni inchi 6.7 ya Amoled ukitizama kitu unakifurahia zaidi pia Kuna security protection ya kulinda macho yako wakati unatumia simu.
Pamoja na ๐ฟ๐ฒ๐ณ๐ฟ๐ฒ๐๐ต๐ถ๐ป๐ด ๐ฟ๐ฎ๐๐ฒ ๐๐ฎ ๐ญ๐ฎ๐ฌ๐๐ Yani ukigua kitu tu kinafunguka ndani ya sekunde 1 hivyo kuifanya skrini yako kufungua kitu kwa haraka zaidi na kuboresha matumizi na kufanya ufurahie simu yako kwenye matumizi.
๐๐๐ฆ๐๐ซ๐ ๐๐จ๐ซ๐ ๐ฒ๐ ๐ ๐ฎ๐ฅ๐ฅ ๐๐
Wala huitaji kuweka filter kitu natural kabisa!! Watumiaji wa Infinix NOTE 12 VIP utaweza kupiga picha na ikatoka Kali yenye megapixel 108mp pamoja na lenzi ya pembeni Pana yenye 13mp itakufanya hutoe picha zenye ubora zaidi.
Huku megapixel ya mbele ni 16mp yenye LED mbili kwa ajili ya kutoa picha Kali nzuri kabisa kupitia self hata kwenye giza totolo.
๐๐๐ฆ & ๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐๐ ๐ ๐ณ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ง๐ ๐ฎ๐ฏ๐ฎ
Kupitia Infinix NOTE 12 VIP utaweza kuongeza ram na kutoka GB8 mpaka GB13 kwa kuunganisha pamoja na kufanya kufungua program mbalimbali kwa haraka bila kuganda Ganda kipengele hiki kinaongeza ufanisi zaidi wa kufanya Kazi kwenye simu.
Internal storage sasa kuanzia 128 mpaka 256 GB utasikia tu kwa majirani simu kujaa na kuganda Ganda.
๐๐๐ฒ๐๐ซ ๐๐ซ๐๐ฉ๐ก๐๐ง๐ ๐๐จ๐จ๐ฅ๐ข๐ง๐ ๐ฌ๐ฒ๐ฌ๐ญ๐๐ฆ
Ukitumia simu ya Infinix NOTE 12 VIP masuala ya simu kupata joto huwezi kusikia maana imekuja ba Teknolojia ya kupooza simu haraka ya graphene 9 na kuwa na uwezo wa kupooza kifaa chako mpaka kufikia nyuzi joto 15. Hii imekuja kwa wale watu wa kutumia simu siku nzima kwani utaichoka wakati unatumia.
๐๐ซ๐จ๐๐๐ฌ๐ฌ๐จ๐ซ ๐ฒ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ง๐ ๐ฎ๐ฏ๐ฎ ๐๐๐
Simu hii imekuja na processor kubwa ya G96 ni kubwa kuliko simu zote za mwanzo za Infinix na kuifanya kuwa simu ya kipekee Sana kwani ukiwa ufanisi wake ni mkubwa , unaweza cheza game , kufanya vitu mbalimbali bila shida yoyote.
Infinix NOTE 12 VIP gharama yake --> 800,000 tu.
๐บ๐๐๐๐๐๐๐๐ by @infinixmobiletzView attachment 2260114
Hahaha...Utawapata mapolisi ndio Simu zao hizo.
Niweuzia Sana pale tarime...
Utawapata mapolisi ndio Simu zao hizo.
Niweuzia Sana pale tarime...
Hata 11 pro imepata backlash sana, maana ni downgrade compare na 10 pro.Sio wao tu hata Redmi note 11 pro nayeye pia kaweka Helio G96
Weeee sio kwel infinix wamekuwa wa kwanza katika sekta ya Kuwahi kujaa kuliko hata hiyo Redmi 11Huu ni utani, hii simu haifikii hata Redmi Note 11 Pro 5G, ambayo bei yake ni ndogo kuliko hiyo infinix
Hizo ni zile za mwanzo, Redmi note 11 ya sasa ni snapdragonSio wao tu hata Redmi note 11 pro nayeye pia kaweka Helio G96
Ni Redmi Note 11 Pro 5G sio Redmi 11, kwa hiyo kuwahi kujaa ndio kunaifanya infinix note 12 vip kuwa bora ziaid ya simu nyingine?Weeee sio kwel infinix wamekuwa wa kwanza katika sekta ya Kuwahi kujaa kuliko hata hiyo Redmi 11
Inawezekana mpaka Sasa infinix ndiyo wa kwanza duniani kuleta simu yenye kujaa kwa dakika 17 tu hivyo kwenye fast charger wapo vizuriNi Redmi Note 11 Pro 5G sio Redmi 11, kwa hiyo kuwahi kujaa ndio kunaifanya infinix note 12 vip kuwa bora ziaid ya simu nyingine?
Hujanijibu swali kiongozi.Inawezekana mpaka Sasa infinix ndiyo wa kwanza duniani kuleta simu yenye kujaa kwa dakika 17 tu hivyo kwenye fast charger wapo vizuri
Achana na swala la kujaa Xiaomi ni Bora zaidi ya infinix kuna Mi 10 hapa Ni balaa tupu Camera ya Moto kama pixel 4aHujanijibu swali kiongozi.
Inabidi uwalipe JF mkuu,hii ni promo ya waziFahamu sifa ya Infinix NOTE 12 VIP
Kampuni ya Infinix imetoa toleo jipya la simu kwa mara ya kwanza yenye watts 120 !! tarehe 16 may 2022 , kampuni ya Infinix ilizindua matoleo matatu ya mfululizo wa series ya Note kuanzia Infinix NOTE 12 VIP , NOTE 12 pamoja na NOTE 12 PRO.
Unajua kwanini ununue Infinix NOTE 12 VIP !!
๐๐๐ค๐ง๐จ๐ฅ๐จ๐ฃ๐ข๐ ๐๐จ๐ซ๐ ๐ฒ๐ ๐๐๐ฌ๐ญ ๐๐ก๐๐ซ๐ ๐ข๐ง๐
Kupitia simu ya Infinix NOTE 12 VIP Kasi ya kuchaji Simu imekua Bora unaweza chaji simu na kujaa haraka bila kuhalibu mifumo ya Betri kuanzia asilimia 0% mpaka 100% ndani ya dakika 17 tu. Betri lenye 4500mah hivyo inafanya uchaji simu ndani ya muda mfupi sana.
๐๐ข๐จ๐จ ๐๐จ๐ซ๐ ๐ค๐๐๐ข๐ฌ๐ ๐๐ก๐ ๐๐ก๐ ๐๐ฆ๐จ๐ฅ๐๐ ๐๐ข๐ฌ๐ฉ๐ฅ๐๐ฒ
Nani asiyejua ubora wa Amoled Display!! Ni kioo kizuri chenye kuonyesha kitu kwa ubora wa Hali ya juu kabisa kwanza ni inchi 6.7 ya Amoled ukitizama kitu unakifurahia zaidi pia Kuna security protection ya kulinda macho yako wakati unatumia simu.
Pamoja na ๐ฟ๐ฒ๐ณ๐ฟ๐ฒ๐๐ต๐ถ๐ป๐ด ๐ฟ๐ฎ๐๐ฒ ๐๐ฎ ๐ญ๐ฎ๐ฌ๐๐ Yani ukigua kitu tu kinafunguka ndani ya sekunde 1 hivyo kuifanya skrini yako kufungua kitu kwa haraka zaidi na kuboresha matumizi na kufanya ufurahie simu yako kwenye matumizi.
๐๐๐ฆ๐๐ซ๐ ๐๐จ๐ซ๐ ๐ฒ๐ ๐ ๐ฎ๐ฅ๐ฅ ๐๐
Wala huitaji kuweka filter kitu natural kabisa!! Watumiaji wa Infinix NOTE 12 VIP utaweza kupiga picha na ikatoka Kali yenye megapixel 108mp pamoja na lenzi ya pembeni Pana yenye 13mp itakufanya hutoe picha zenye ubora zaidi.
Huku megapixel ya mbele ni 16mp yenye LED mbili kwa ajili ya kutoa picha Kali nzuri kabisa kupitia self hata kwenye giza totolo.
๐๐๐ฆ & ๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐๐ ๐ ๐ณ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ง๐ ๐ฎ๐ฏ๐ฎ
Kupitia Infinix NOTE 12 VIP utaweza kuongeza ram na kutoka GB8 mpaka GB13 kwa kuunganisha pamoja na kufanya kufungua program mbalimbali kwa haraka bila kuganda Ganda kipengele hiki kinaongeza ufanisi zaidi wa kufanya Kazi kwenye simu.
Internal storage sasa kuanzia 128 mpaka 256 GB utasikia tu kwa majirani simu kujaa na kuganda Ganda.
๐๐๐ฒ๐๐ซ ๐๐ซ๐๐ฉ๐ก๐๐ง๐ ๐๐จ๐จ๐ฅ๐ข๐ง๐ ๐ฌ๐ฒ๐ฌ๐ญ๐๐ฆ
Ukitumia simu ya Infinix NOTE 12 VIP masuala ya simu kupata joto huwezi kusikia maana imekuja ba Teknolojia ya kupooza simu haraka ya graphene 9 na kuwa na uwezo wa kupooza kifaa chako mpaka kufikia nyuzi joto 15. Hii imekuja kwa wale watu wa kutumia simu siku nzima kwani utaichoka wakati unatumia.
๐๐ซ๐จ๐๐๐ฌ๐ฌ๐จ๐ซ ๐ฒ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ง๐ ๐ฎ๐ฏ๐ฎ ๐๐๐
Simu hii imekuja na processor kubwa ya G96 ni kubwa kuliko simu zote za mwanzo za Infinix na kuifanya kuwa simu ya kipekee Sana kwani ukiwa ufanisi wake ni mkubwa , unaweza cheza game , kufanya vitu mbalimbali bila shida yoyote.
Infinix NOTE 12 VIP gharama yake --> 800,000 tu.
๐บ๐๐๐๐๐๐๐๐ by @infinixmobiletzView attachment 2260114
Kuliko niwe na hio Bora redmi 10cHuu ni utani, hii simu haifikii hata Redmi Note 11 Pro 5G, ambayo bei yake ni ndogo kuliko hiyo infinix