Nicas saguda
Member
- Jun 8, 2015
- 15
- 16
- Thread starter
-
- #21
Njia zote nyingine ameshajaribu iliyobakia ni hiyo ya kupandikiza mimba!!alienda pale hospital ya kairuki kujaribu kutaka kujua ki undani!!!ndipo akakutana gharama hizo,kuwa japo kuna vipimo vingi atatakiwa kufanyiwa kwanza lakini navyo ni gharama pia.ila ni kuanzia 14M, na inaweza kuongezeka kutegemea na vipimo atakavyofanyiwa.
48yrsAna umri gani ,
48yrs
Wanawake wanaotumia vidonge vya uzazi wa mpango kwa ajili yakupanga uzazi habari njema nikwamba wanapata kinga kwa kuugua saratani ya mfuko wa mayai Yaan ovarian cancer
Aina yoyote ya vidonge vya uzazi?
Cocs
Ndio nin hiyo unaweza andika kirefu
Uko wapi nije kupima