Industrial practical training ni nzuri kama utaenda private company, kwa fani za engineering ni vizuri ukaenda private, utatengeneza channel na watu
Mimi nilipata kazi sehemu ambayo nilifanya IPT mwaka wa mwisho, siku ya kumaliza field niliambiwa ukimaliza njoo ufanye kazi, nilivyomaliza nilikaa wiki 5 nasaka sehemu zingine sikubahatika nikarudi pale pale nikaanza kazi,
Nina miaka 4 kwa sasa hapo kazini