Trentalexanderanold
Member
- Aug 22, 2018
- 49
- 36
Ndugu zangu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 na nmehitimu mwaka Jana chuo kikuu cha Dar es salaam Katika kozi ya industrial engineering.
Lengo la thread hii kuomba yeyote mwenye connection ya kazi aweze kunisaidia angalau niweze kumudu maisha.
Kwa sasa Niko Arusha.
Kwenye viwanda naweza kufanya vifuatavyo:
1)kitengo cha production
2)industrial procurement
3)Transport and logistics
4)industrial auditing
5)workshop
Mkuu sina experience zaidi ya field nlizofanya chuo.Elezea experience yako baada ya kumaliza chuo then tukushauri kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
mtu kashasema kamaliza chuo mwaka jana, experience gani unataka ?? Wewe kama una mchongo mpe sio kuuliza maswali hayo.Elezea experience yako baada ya kumaliza chuo then tukushauri kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliskia tanzania ya viwanda ukaenda kusomea hiyo kozi... umenikumbusha watu wa petrolium... anyways fanya hayaNdugu zangu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 na nmehitimu mwaka Jana chuo kikuu cha Dar es salaam Katika kozi ya industrial engineering.
Lengo la thread hii kuomba yeyote mwenye connection ya kazi aweze kunisaidia angalau niweze kumudu maisha.
Kwa sasa Niko Arusha.
Kwenye viwanda naweza kufanya vifuatavyo:
1)kitengo cha production
2)industrial procurement
3)Transport and logistics
4)industrial auditing
5)workshop
petroleum engineering ilianzishwa kisiasa sana nakumbuka Hivi soko lake likoje kwa sasa??Uliskia tanzania ya viwanda ukaenda kusomea hiyo kozi... umenikumbusha watu wa petrolium... anyways fanya haya
1. Mpaka sasa najua unajua autocad at least, anza kujifunza kudesign simple houses na hiyo autocad then anza kutangaza kwa watu una design majengo.
2. Kama ukiona hiyo huwezi jifunze basics za structural engineering japo naamini chuo mtakua mlisoma... then jifunze program kama protastructure na archicad uingie kwenye sekta ya ujenzi.
3. Nenda kwenye makampuni ya ujenzi (usikariri kufanya kazi viwandani) omba kazi hata ya kujitolea. Kama kwenye 1 na 2 hapo juu uko njema itasaidia.
4. Nenda pale ERB omba nafasi za SEAP (i recommend this). Ukipata chance komaa kiume sio ulete ubishoo... na kazi utapata huko huko.
5. Hakikisha umejisajili kama graduate engineer.
6. Kama kwenye 1 na 2 uko vizuri fikiria kuanza kufanya kazi za freelancing...
Nimemaliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimo kinahitaji mtaji mkuuduh engineering haina ishu kwa sasa njoo kolomije tushike jembe
mtu kashasema kamaliza chuo mwaka jana, experience gani unataka ?? Wewe kama una mchongo mpe sio kuuliza maswali hayo.
Shukrani mkuu kwa ushauriUliskia tanzania ya viwanda ukaenda kusomea hiyo kozi... umenikumbusha watu wa petrolium... anyways fanya haya
1. Mpaka sasa najua unajua autocad at least, anza kujifunza kudesign simple houses na hiyo autocad then anza kutangaza kwa watu una design majengo.
2. Kama ukiona hiyo huwezi jifunze basics za structural engineering japo naamini chuo mtakua mlisoma... then jifunze program kama protastructure na archicad uingie kwenye sekta ya ujenzi.
3. Nenda kwenye makampuni ya ujenzi (usikariri kufanya kazi viwandani) omba kazi hata ya kujitolea. Kama kwenye 1 na 2 hapo juu uko njema itasaidia.
4. Nenda pale ERB omba nafasi za SEAP (i recommend this). Ukipata chance komaa kiume sio ulete ubishoo... na kazi utapata huko huko.
5. Hakikisha umejisajili kama graduate engineer.
6. Kama kwenye 1 na 2 uko vizuri fikiria kuanza kufanya kazi za freelancing...
Nimemaliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
@Engineering haina ishu kwa sasa
You must be kidding!!, yaan unamshauri mtu aingie kwenye industry ya ujenzi na kuanza kufanya vitu ambavyo hakuvisomea na hana utaalmu navyo. Au unadhan kuingia kwenye hio industry na kujifanya unaeza fanya kazi kama wenye fani zao waliozisomea ni kama kuuza mitumba au kufungua genge la mbogamboga mtaani ?Uliskia tanzania ya viwanda ukaenda kusomea hiyo kozi... umenikumbusha watu wa petrolium... anyways fanya haya
1. Mpaka sasa najua unajua autocad at least, anza kujifunza kudesign simple houses na hiyo autocad then anza kutangaza kwa watu una design majengo.
2. Kama ukiona hiyo huwezi jifunze basics za structural engineering japo naamini chuo mtakua mlisoma... then jifunze program kama protastructure na archicad uingie kwenye sekta ya ujenzi.
3. Nenda kwenye makampuni ya ujenzi (usikariri kufanya kazi viwandani) omba kazi hata ya kujitolea. Kama kwenye 1 na 2 hapo juu uko njema itasaidia.
4. Nenda pale ERB omba nafasi za SEAP (i recommend this). Ukipata chance komaa kiume sio ulete ubishoo... na kazi utapata huko huko.
5. Hakikisha umejisajili kama graduate engineer.
6. Kama kwenye 1 na 2 uko vizuri fikiria kuanza kufanya kazi za freelancing...
Nimemaliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
hesabu hunifikii hata roboNdo mnavyojiliwaza watu mliofeli hesabu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwanza unatakiwa usaijiliwe kama graduate engineer then ndio una apply hiyo program kama ukipata nafasi itakujenga sana maana unapata nafasi kwenye kampuni then unakua monitored na engineer ambaye kasajiliwa kam PE.Ila hapo kwenye SEAP naomba unifafanulie plz
Hukua na haja ya kuandika gazeti lote hili, kama ungesoma kwa makini nilichoandika mpaka mwisho wala hukua na haja ya kupoteza kuandika hili gazeti.na hana utaalmu navyo. Au unadhan kuingia kwenye hio industry na kujifanya unaeza fanya kazi kama wenye fani zao waliozisomea ni kama kuuza mitumba au kufungua genge la mbogamboga mtaani ?
Ila jaman acheni kuvamia fani za watu kisa mnaona ni mambo marahis na mnaweza kuyanfanya maana mnaishia kubabaisha na mmnaharibu na kuwachafulia sifa wahusika wa hizo fani pale mnaposhindwa kufikia malengo ya wanaowapa kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
I am not. wewe ndiye unaye leta utani.You must be kidding!!
Una uhakika gani hajasomea?, yaan unamshauri mtu aingie kwenye industry ya ujenzi na kuanza kufanya vitu ambavyo hakuvisomea
Una uhakika gani hajui structural analysis?Yaan kwamba mtu ambaye hajui strength za nondo na zege, hajui analysis ya structure inafanyika vip ndo aanze kufanya free lancing kisa anajua kutumia AutoCAD ??
Yaan kwamba watu wa civil waliosoma structural mechanics, stractural design and analysis kwa miaka 4 walikua wanacheza kias kwamba huyu mheshimiwa azamie humo ili apambane na hao wenye ujuzi na hayo mambo.
Yaan kwamba mtu ambaye hajui strength za nondo na zege, hajui analysis ya structure inafanyika vip ndo aanze kufanya free lancing kisa anajua kutumia AutoCAD ??