Incubators nzuri bei nafuu kutoka china

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
480
Reaction score
413
Nimeamua kuwasaidia wakulima wadogo wadogo.
Nimetafuta kampuni inayotengeneza incubator ambazo ni full automatic na bei zake ni nzuri huwezi linganisha na ubora wake.
Kuanzia mayai 264 mpaka 12672 zinapatikana.
Wakala wa usafirishaji tunaotumia ni silent ocean ambao ni wa uhakika na wako muda mrefu sokoni.
Bei zetu ni mpaka unachukua mkononi ma kuondoka.
Incubator ya mayai 264 bei yake ni 1,572,000.
Ya mayai 1056 bei yake ni 2,970,000.
Hizo ni baadhi tuu.
Unaeza tucheki whatsapp +8613164621057.
 

Attachments

  • 326687C9-ED73-46D1-817E-22A9E091D540.jpeg
    55.5 KB · Views: 37
  • 6B972066-19FA-433D-92C8-54C92D02BF88.jpeg
    34.6 KB · Views: 34
  • ACF75B47-B330-4006-B82E-198D2381028C.jpeg
    83.2 KB · Views: 33
  • 68A657AD-DF8C-4E57-87D6-4EFAE6D096E8.jpeg
    62 KB · Views: 34
  • 3FCCE3EC-E119-409E-90DE-E7D551858640.jpeg
    35.1 KB · Views: 29
  • DD42DE95-06E1-4DBC-9D67-C39F755B40A8.jpeg
    23.8 KB · Views: 30
  • F60DBF98-EF93-4A31-8DE2-881F86FB6215.jpeg
    23.8 KB · Views: 26
  • DB9292E7-4D61-40EF-8D2A-E696D69665A5.jpeg
    54.6 KB · Views: 25
  • 31FDE65D-F784-4ADF-91D5-8D71B6CAFF76.jpeg
    51.7 KB · Views: 26
Incubator za China?hzo mbovu hata kabla sijajua,Chinese are FAKE,they never create something on their own its copy and paste.
 
Incubator za China?hzo mbovu hata kabla sijajua,Chinese are FAKE,they never create something on their own its copy and paste.
tunaomba altenative mkuu maana huyo ka advertise kama unajua nzuri tuwekee hapa, soko huria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…