Inatunza joto kwa wastani wa saa 4 hadi 8 hivyo kuzuia mayai yasiharibike ndani ya huo muda.Vipi umeme ukikata?
Sijawahi kuwafuga....nilikuwa nafuga kuroiler hapo mwanzo kabla sijabadilika.Hawa kuku umewahi wafuga kabla? Nataka unipe ABC za bavon brawon
Imegoma kufungukaSoma hizi doc utajua zaidi kuhusu Bovans Brown.View attachment 1142750View attachment 1142749View attachment 1142751View attachment 1142752View attachment 1142753
Pure kienyeji, chotara walinishinda mayai yao bei ndogo sanaKwasasa unafuga kuku gani?
Vifaranga vinapatiana wap? sh ngap? naweza pata mawasiliano ya wauzaji.Soma hizi doc utajua zaidi kuhusu Bovans Brown.View attachment 1142750View attachment 1142749View attachment 1142751View attachment 1142752View attachment 1142753
Na hiyo back up power inafanya kazi muda gani bila umeme?Inatunza joto kwa wastani wa saa 4 hadi 8 hivyo kuzuia mayai yasiharibike ndani ya huo muda.
Umeme ukikatika unaporudi ina adjust duration yenyewe kufidia muda ambao haikuwa na umeme.
Ila ni vizuri kuwa na back up power ambayo inakuwa automatic umeme ukikatika inaingia kazini.....back up power(UPS) ya kuendesha hiyo mashine ni 450,000/=