Kweli mkuu ngoja tukusanye nguvu hata mimi October ningeweza sijui anazo nyingi au anaweka oda.nimeridhika na bei hasa kwa hiyo ya mayai 171,but by September ndo naweza nunua.vp unazo za kutosha,naogopa zisije isha!
nimeridhika na bei hasa kwa hiyo ya mayai 171,but by September ndo naweza nunua.vp unazo za kutosha,naogopa zisije isha!
Zilikua tano wakuu,ila zimebaki mbili kwa sasas!zilikuja chache kutokana na kutokua na uhakika wa soko,ila hamasa imetoa moyo,kwa hiyo kwa mbeleni zitakua zinakuja kwa order kwa atakaehitaji
Inakuwaje kama umeme unakatika hii mashine yako inaweza kukaa muda gani bila kuharibu mayai?
Mungu akubariki I see tutakutafuta, ila sasa specifications zake vipi, umeme gani nahitaji isijekuwa white elephant I mean sio phase 3 au? nitahitaji hiyo ya 170 au kama 200-300 zitakuwepo bei nzuri kidogo.
Asante nikijua bei nitakupa jibu kwa pm lini ili nijipange na ka generator walau, ila sio zaidi ya November mwaka huu.Mama Joe, hii ni single phase,iko very economy,labda unijulishe lini hasa utakua tayari,kuhusu hiyo ya 200 - 300 ngoja nifuatilie alafu nitakupa jibu itagharimu kiasi gani.
Maeneo ya Sinza
jamani mi mgeni wa incubators naomba kuelimishwa, hivi zinatumia siku ngapi kuangua mayai?? ni siku zile zile za kuku au inapunguza?