Incubator laki 3 automatic

malogi1976

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2016
Posts
297
Reaction score
168
 

Attachments

  • 1496320245011.jpg
    49.8 KB · Views: 55
  • 1496320284742.jpg
    16.4 KB · Views: 49
I see umefanya nicheke sana , hujasema inachukia mayai mangapi wala kueleza imetengenezwa wapi na ni used au bland new. Kwa mtindo huu hutapata mnunuzi.
 
Kwa kuingalia hii sio automatic manual,halafu etengenezwa china
 
Hivi mbona naviona vingi kwenye maduka ya kuuza furniture za kichina zile MBF ambazo ukihama zinasambaratika?
 
Hivi mbona naviona vingi kwenye maduka ya kuuza furniture za kichina zile MBF ambazo ukihama zinasambaratika?
Mi sijui ila zipo za aina tofauti kwanza vitu vingi vinatoka huko huko kwao
 
Watanzania wauaji sana yaani kidude cha dollar 48 unawauzia wenzako 300000?
Kitu ambacho pamoja na usafiri ni 150,000
Kwanini utake faida kubwa hivo ndugu?
 
Mimi nimenumuwa laki 4 halafu ningekushauri uende ukatafute cha laki 150 na nimenunulia hapa tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…