Incubator, incubator, incubator zinauzwa

Expedito Mduda

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
545
Reaction score
268
Kwa wajasiriamali wanaodhamiria kujikwamua na lindi la umasikini. Mashine za kutotolea vifaranga zinapatikana hapa kwetu.
SIFA:
1. Zina ukubwa tofauti, toka mayai 200 hadi 2000

2. Mashine zetu ni automatic kwa maana kuwa zinageuza mayai zenyewe bhivyo kukupungbuzia kazi ya kugeuza kila mara kwa mikono. Kwa kuwa ziko automatic, zinageuza mayai mara nyingi zaidi na hivyo kuongeza uanguaji
3.Zinatumia umeme kidogo sana hivyo kupunguza gharama za uendeshaji

Tunawakaribisha wote tuweze kuondoa umaskini kwa pamoja
Tunatoa elimu ya kutengeneza chakula cha kuku kwa kutumia vitu inavyopatikana katika mazingira yetu
Tunaambatisha picha ya incubator moja
 

mkuu bila bei tangazo linakuwa incomplete, linaweza kureflect kwamba haupo crius vile, mm ni muhitaji namba moja wa hzo incubator, so edit tangazo lako na pia hiyo 4to kwangu haifunguki naambiwa bad 4mat.
 

Tangazo lenyewe Wizi mtupu, hamna contact,company,price.. Ukiona hivi ujue hata product zenyewe ndo zilee zinazounguza fuse.. Ukiwauliza wanasingizia TANESCO
 
Mkubwa tupe bei ya machine yenyewe!
Na pamoja na yote naomba bei ya incubator ya mayai 48 na iwe Automatic!
 
Ndugu yetu ili tangazo lako liwe na maana unapaswa kututangazia professionally. vinginevyo tangazo lako halina maana. Kwenye dunia hii ya utandawazi kuna makampuni mengi yanafanya biashara hiyo na hutoa aina za mashine, mahali zilipotengenezwa, ukubwa wake, uwezo wake, picha zake, mahali zinakopatikana, mawasiliano na bei za kila moja. Kinyume cha hapo tunajua hukumaanisha na jukwaa hili si la mizaha
 
Expedito Mduda ,rekebisha tangazo lako kama upo serious.andika bei,aina za mashine,zimetengenezewa wapi,zina umri gani,contact zako,na kadhalika,,,ndipo utaeleweka.
 
Last edited by a moderator:

mkuu naomba bei kulingana na ukubwa wa machines !
 
Huna details na price huna haki ya kututangazia biashara.........
 
Kwa kweli incubator ya mayai 48 hatuna ila unaweza nunua ya mayai 200 au 300 na uweke mayai 48
 
Unapatikana wapi na bei zako zikoje.Kuwa wazi au umezipiga mahali.
 
:behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa:

Expedito Mduda, unatoa tangazo na kujificha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…