incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,534
- 4,293
Et ee? Hapo lazma nidai vyanguHapo umeibiwa kabisa tena mchana kweupeee
Jipu hilo lazma nilitumbue mwenyewe nais hivyo huyu dem kaniona nyangemakama ulimgegeda siku moja baada ya kutoka period yani una uhakika na hilo,bhasi huyo mwanamke kakuona Mandemba kama sio ndoza.
Hapo lazma nifke the heage![emoji23] [emoji23] [emoji23]Nenda polisi fasta ushaibiwa tayar khaaaa wanawake hawa ni shida asee
Asa udai vyako vipi mkuu?Et ee? Hapo lazma nidai vyangu
Dah kanichuna parefu mkuu akidai anamimba at the end anasema kaanguka mimba imetoka mmmmh hapo lazma aniludishie vyanguAsa udai vyako vipi mkuu?
Poleee,mpotezee tu najua hata ukidai hawezi kukulipa so utakua unapoteza mda tuDah kanichuna parefu mkuu akidai anamimba at the end anasema kaanguka mimba imetoka mmmmh hapo lazma aniludishie vyangu
Zinakata stimuHivi condom hamzionagi
Mi nikivaa Ndom mashine inalala[emoji13] [emoji13]Hivi condom hamzionagi