masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,171
Nasoma kwa mshangao, gazeti la Daily News, pg 1.
Eti mkandarasi aitwae STRADA International ya Uingereza, imetoroka baada ya kupewa bilioni 22 kwa ajili ya mradi wa barabara Mirerani.
Kwa taratibu za ujenzi na TANROADS, mkandarasi hawezi pewa fedha zote hizo bila Bank Bonds!
Sasa je Mwingereza huyu hakuwa na Bank Bonds hizo?
Sasa alipewaje kazi?
I smell a rat!