ntulinkisah
Member
- Jan 27, 2020
- 49
- 28
Shalom..
Ni mambo yakushangaza sana jamani katika pita zangu nikaona chupi za upako zina picha kabisa ya mtumishi... nmeshangaa sana nikajiuliza inawezekanaje mambo haya..... ina maana watu tumefikia hatua hii ya kumchezea Mungu kiasi hichi??? Inawezekanaje nguvu ya Mungu kukaa katika chupi hivi mbona watu tumejaa masihara kiasi hichi hakika tunamchezea uyu Mungu yaan tunamfanya kua ni kitu kidogo kiasi hichi ........tufike mahaki tuyakatae mambo aya ....tuutafute ufalme wa Mungu na haki yake na sio vitu hivi vyepesi vyepesi tu
Sent using Jamii Forums mobile app