Inaweza Waajiri kukulipia NSSF lakini wasilipe kodi (PAYEE)?

Jodeo

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
1,286
1,326
Habari wanasheria?

Katika pitapita zangu leo, nimekuta jambo likijadiliwa mahali. Kwamba kuna waajiri wanaweza kukulipia NSSF lakini wasilipe kodi (PAYEE). Nikajiuiza jambo hili linawezekana vipi?

Kwahiyo basi nikataka kujuzwa, kwamba ni kweli hili jambo linawezekana? Na kwa wale wanaopewa ajira bila mikataba, unawezaje kutrace kama mwajiri analipa kodi ya PAYEE! Mfano,, mtu ameambiwa tutakulipa laki tano (Net salary), unawezaje kujua mwajiri analipa kodi ya PAYEE?

Nawasilisha




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom