moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
Mwambie huyo. Mimi nimewahi kutoa elf 50 afu kesho yake demu akaolewa back in the days high school
Hiyo kweli mkuu(Wadada wenye tabia hii mnisamehe)
Kuna wadada huku wamejiajiri fb kupitia ugonjwa au kwa kutokuwa na ajira (kazi). Mdada ana friends 5000, kati ya hao tuseme anaweza kuchat na watu 3000.
So wadada hawa wanachofanya ni kirahisi mno (ukizingatia wanaume wengi humu hutumia muda mwingi kuomba namba za simu),anaweka status ya AM SICK, NIOMBEENI au NA HILI LITAPITA au EEH MUNGU NISAIDIE, etc. Hapa anajenga mazingira ya watu kumfwata messenger kumuuliza nn kinakusumbua, sasa hapo ndipo anapowafanya nyinyi wajinga (wanaume) anakwambia anaumwa sina hata 10, na anatakiwa kununua dawa ya elfu 3.
Sasa kwa akili yako fupi ya kufikiria unaona mbona buku 3 ndogo, haya unapewa namba unarusha buku 5. Matokeo yake ni kwambia, watu elfu 1 au 2 mliambiwa hivyo hivyo, na kati ya hao assume watu 300 wamekuwa wajinga na wakatuma hela kama ulivyofanya ww. Hapo tayari ana laki 9, na hapo sio wote wametuma buku 3, wengine 5 mpaka 20.
Sasa kwa siku kaingiza laki 9, kwa mwezi ANAWAVUNA sh ngapi!!?? Na ukishtuka unakula block. Na hapo bado mnaojifanya kutuma nauli mtu awafwate (hv mnatumiaga akili kifikiria kweli) Hebu WANAUME tumie muda mwingi kutafakari hili, maana buku 3 yako ndio imefanya wana magari na nyumba. Hii yote ni kwasababu ya kujua UDHAIFU wa wanaume walionao kupitia SOCIAL MEDIA. #UshauriWaLeo #Wanaume #Wanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kamoja kalikua girls nimetuma pocket money haziesabiki ila nilikuja kukafumua kamemaliza skul !kama ni bahili hupati mbunye mzee tena hasa hizi za chuo .Mwambie huyo. Mimi nimewahi kutoa elf 50 afu kesho yake demu akaolewa back in the days high school
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umelenga mulemule mingine ni midume inafanya hivyo..(Wadada wenye tabia hii mnisamehe)
Kuna wadada huku wamejiajiri fb kupitia ugonjwa au kwa kutokuwa na ajira (kazi). Mdada ana friends 5000, kati ya hao tuseme anaweza kuchat na watu 3000.
So wadada hawa wanachofanya ni kirahisi mno (ukizingatia wanaume wengi humu hutumia muda mwingi kuomba namba za simu),anaweka status ya AM SICK, NIOMBEENI au NA HILI LITAPITA au EEH MUNGU NISAIDIE, etc. Hapa anajenga mazingira ya watu kumfwata messenger kumuuliza nn kinakusumbua, sasa hapo ndipo anapowafanya nyinyi wajinga (wanaume) anakwambia anaumwa sina hata 10, na anatakiwa kununua dawa ya elfu 3.
Sasa kwa akili yako fupi ya kufikiria unaona mbona buku 3 ndogo, haya unapewa namba unarusha buku 5. Matokeo yake ni kwambia, watu elfu 1 au 2 mliambiwa hivyo hivyo, na kati ya hao assume watu 300 wamekuwa wajinga na wakatuma hela kama ulivyofanya ww. Hapo tayari ana laki 9, na hapo sio wote wametuma buku 3, wengine 5 mpaka 20.
Sasa kwa siku kaingiza laki 9, kwa mwezi ANAWAVUNA sh ngapi!!?? Na ukishtuka unakula block. Na hapo bado mnaojifanya kutuma nauli mtu awafwate (hv mnatumiaga akili kifikiria kweli) Hebu WANAUME tumie muda mwingi kutafakari hili, maana buku 3 yako ndio imefanya wana magari na nyumba. Hii yote ni kwasababu ya kujua UDHAIFU wa wanaume walionao kupitia SOCIAL MEDIA. #UshauriWaLeo #Wanaume #Wanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mko wangapi kwenye hiyo series. Na kipi kinakufanya utakuwa the best kuliko wengine?