Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 5,335 Reaction score 2,901 Tuesday at 9:10 AM #1 Outback charger controllerMPPT FLEX MAX 60A Imetumika miezi mitano tu, kwa hiyo ni kama mpya.
kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 10,618 Reaction score 17,621 Tuesday at 9:12 AM #2 Iko ndio ki nini? Kinaweza tumika kumlipua mdeni?
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 5,335 Reaction score 2,901 Tuesday at 9:22 AM Thread starter #3 kelphin said: Iko ndio ki nini? Kinaweza tumika kumlipua mdeni? Click to expand... Hakiwezi Mkuu! Kwa mahitaji ya vilipuzi fika pale NGOME watakusaidia.
kelphin said: Iko ndio ki nini? Kinaweza tumika kumlipua mdeni? Click to expand... Hakiwezi Mkuu! Kwa mahitaji ya vilipuzi fika pale NGOME watakusaidia.
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 24,552 Reaction score 30,104 Tuesday at 9:23 PM #4 Kyenju said: Hakiwezi Mkuu! Kwa mahitaji ya vilipuzi fika pale NGOME watakusaidia. Click to expand... Muuzaji unatakiwa uwafahamishe watu kuhusu matumizi na faida za hicho kifaa, inawezekena kunamtu anatatizo na hajui atumie kifaa gani kutokana na kutokua na udadisi kuhusu vifaa vya umeme.
Kyenju said: Hakiwezi Mkuu! Kwa mahitaji ya vilipuzi fika pale NGOME watakusaidia. Click to expand... Muuzaji unatakiwa uwafahamishe watu kuhusu matumizi na faida za hicho kifaa, inawezekena kunamtu anatatizo na hajui atumie kifaa gani kutokana na kutokua na udadisi kuhusu vifaa vya umeme.
Mpatuka JF-Expert Member Joined Nov 15, 2015 Posts 2,350 Reaction score 3,761 Tuesday at 11:47 PM #5 .