kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,317
- 4,118
Kauli hii iliumiza moyo wangu na hasa mfukoni sikuwa hata n pesa ya kuwatumia.
Ukweli kuna muda nakaa nawaza sana juu ya wazazi wangu ambao wana-approach to 70s wakiwa na maisha magumu na wananitegemea mm mtt wa mwisho niliyesoma angalau nina dira kuliko yeyote ktk familia na hawa wazazi hawana mtt wa kuwapa hata thumni zaid yangu
Badala ya kuja hapa kulalamika, ingia chumbani kwako, funga mlango, mshukuru Mungu kwakuwa una afya njema wapo wenye kila kitu lakini hawana nafasi ya kuongelea habari ya sikukuu.
Baada ya kumshukuru Mungu kwa hali uliyonayo, mwombe awape hao watoto moyo wa subira, Mungu hufanya kila jambo kwa kusudi lake.