Dume mkuu
Ni kweli babe nakumbukaKuna binti niliwahi kumwambia kwamba......
Kama haujipendi kwanza, basi do not expect kuna yeyote atakupenda
Yaan unamacho unamasikio una akili..ili nalo Linahitaj akili zakiwango cha lami kujua unapendwa au.lah??!
Niwe nimelala saa hii kwani mimi kuku?Babe..
Kumbe bado hauja lala..
Mdada aliimba maneno mazito sana yule"Sina mali sina deni kwahiyo sio masikini,nimejifunza kupenda nijipende mimi kwanza,. And people come and go like seasons,they don't need reason,.so I've learned to let go.
Can't regret yesterday,tomorrow is a new day and i know. I'm not perfect at all, I stumble i fall cause life is crazy😃so i gotta take it easy,.yeah you know😉"
~free soul~
Saaana...hayanitoki moyoni.Mdada aliimba maneno mazito sana yule
Uliniaga babe...Niwe nimelala saa hii kwani mimi kuku?
Babe, yaani wakati nakuletea pizza hapo karibia na kibanda cha kwa shuleni kwenu....Utakuwa umechanganya mafaili babe
Babe, yaani wakati nakuletea pizza hapo karibia na kibanda cha kwa shuleni kwenu....
MATTER CORE WEW TAFUTA HELA UKOinauma sana pale unapompenda mtu alafu yeye anakuchukulia poa.
GRACE MATATA"Sina mali sina deni kwahiyo sio masikini,nimejifunza kupenda nijipende mimi kwanza,. And people come and go like seasons,they don't need reason,.so I've learned to let go.
Can't regret yesterday,tomorrow is a new day and i know. I'm not perfect at all, I stumble i fall cause life is crazy😃so i gotta take it easy,.yeah you know😉"
~free soul~
Babe....unaona sasa? Mimi pizza umeniletea mara ya mwisho mwezi mmoja uliopita